Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Maktaba ya Picha

Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire awasili mjini Lusaka Zambia kwa ajili ya Kikao cha Baraza la Mawaziri wa TAZARA.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri wa TAZARA mjini Lusaka, Zambia
Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire ashiriki katika mdahalo kwenye Kongamano la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Umoja wa Ulaya, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ashiriki katika kikao cha 43 cha Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kilichofanyika jijini Burundi.
Mkurugenzi Huduma za Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhandisi Aron Kisaka afungua kikao cha kwanza cha Wadau wa Bandari Mkoani Mtwara.
Naibu Waziri Uchukuzi, Atupele Mwakibete azungumza na watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), bandari ya Kyela, Wilayani humo Mkoani Mbeya.