Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi Kiwanja cha Ndege cha Msalato jijini Dodoma.
Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi katika Mradi wa reli ya Kisasa ya SGR
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya SGR Sehemu ya Mwanza hadi Isaka KM 249, jijini Mwanza
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Atuple Mwakibete,azindua Bodi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Atupele Mwakibete, afungua mkutano wa tatu wa mwaka wa Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) jijini Dar es Salaam.