Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Maktaba ya Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu aweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa bandari ya Kibirizi, Bandari ya Ujiji na Ujenzi wa Jengo la Utawala, mkoani Kigoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu aweka jiwe la msingi katika MRADI wa ujenzi wa Barabara ya Manyovu-Kasulu--Kabingo na Kufungua Barabara ya Kidahwe-Kasulu.
Uchukuzi SC yaibuka na vikombe na medali lukuki katika mashindano ya SHIMIWI yaliyofanyika Mkoani Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu azindua barabara ya Nyakanazi hadi Kabingo yenye urefu wa KM 50 iliyojengwa kwa Kiwango cha Lami, Mkoani Kigoma.
Katibu Mkuu Uchukuzi, Gabriel Migire akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya AVZ Minerals Dkt. Charles Clarke.
Naibu Waziri wa Uchukuzi Atupele Mwakibete afunga maadhimisho ya Wiki ya Reli yaliyofanyika jijini Dar es Salaam