Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete azindua rasmi utafiti wa kisanyansi wa vyombo vidogo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa azindua bodi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA), jijini Dar es Saalam.
Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire ahudhuria kikao cha Bodi ya CCTTFA jijini Bujumbura.
Azimio la Bunge kuhusu DP World Bungeni jijini Dodoma 10-6-2023
Katibu Mkuu Ujenzi Balozi Aisha Amour aongoza kikao kazi kati ya Menejimenti ya Sekta na Menejimenti za taasisi zilizo chini ya sekta ya Ujenzi mkoani Tanga.