Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu awaongoza Viongozi wa Kitaifa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Mapokezi ya Ndege aina ya B767-300F jijini Dar es Salaam.
WAZIRI PROF. MBARAWA AWAPONGEZA SCANIA KWA KUTIMIZA MIAKA 50
Katibu Mkuu Uchukuzi, Gabriel Migire awatembelea wanamichezo wa Uchukuzi SC wanaoshiriki katika mashindano ya SHIMIWI 2023 yanayofanyika mkoani Morogoro.
Mkurugenzi Msaidizi wa Ufuatiliaji na Tathmini wa Sekta ya Uchukuzi Bi Devota Gabriel akifungua kikao kazi cha kufanya tathmini ya mikataba ya utendaji kazi kwa kipindi cha nusu mwaka 2022/2023 kati ya Wizara na baadhi ya wakuu na wawakilishi wa Taasisi 14 zilizo chini ya Sekta ya Uchukuzi,
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa bandari ya Tanga, mkoani humo.