News and Events
30
Sep
2014

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KIVUKO CHA MV TEGEMEO


MAKAMU WA RAIS AZINDUA KIVUKO CHA MV TEGEMEO

Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal ameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA kwa ununuzi na ukarabati wa vivuko vipya na vya kisasa nchini kwa lengo la kurahisisha huduma za usafirishaji kwa wananchi.

Read More
15
Aug
2014

WAZIRI MAGUFULI AWATAKA WANANCHI KUWA WAZALENDO KATIKA MAENEO AMBAYO MIRADI YA BARABARA INAJENGWA


WAZIRI MAGUFULI AWATAKA WANANCHI KUWA WAZALENDO KATIKA MAENEO AMBAYO MIRADI YA BARABARA INAJENGWA

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wananchi kuwa wazalendo na kutoa ushirikiano katika miradi mbalimbali ya ujenzi inayoendelea nchini badala ya kuipinga, kuihujumu na kuilaumu Serikali.

Read More
15
Aug
2014

MAGUFULI AKAGUA MZANI WA KISASA VIGWAZA


MAGUFULI AKAGUA MZANI WA KISASA VIGWAZA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kukamilika kwa mizani ya Kisasa ya Vigwaza mkoani Pwani kutasaidia kuondoa malalamiko kutoka kwa wasafirishaji wanaozidisha uzito uliowekwa kisheria.

Read More
15
Aug
2014

WAZIRI MAGUFULI: NDANI YA MIAKA MITATU, FOLENI KUWA HISTORIA DAR


WAZIRI MAGUFULI: NDANI YA MIAKA MITATU, FOLENI KUWA HISTORIA DAR

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) amesema kuwa ndani ya miaka mitatu ijayo tatizo la Msongamano katika Jiji la Dar es Salaam itakuwa historia.

Read More